Title: Upandaji Miti katika Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu Shinyanga Tanzania
By Getrude Sombe, Member of Environment Sector sector. Posted this report on 2023-07-01 13:04:06
Maximilian Lugembe Mtendaji Kata ya Kiloleli Kishapu Shinyanga akielezea jinsi matumizi ya majiko banifu na mkaa mbadala yalivyowezesha kupuguza ukataji wa miti katika Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu Shinyanga Tanzania