Title: Upandaji wa Miti katika Halmashauri ya Simanjiro Manyara Tanzania
By Getrude Sombe, Member of Environment Sector sector. Posted this report on 2023-07-01 13:46:33
Mwalimu Ismail Ikwazo Mkuu wa Shule ya Olkesmet akifafanua namna zoezi la upandaji miti lilivyowezesha kutunza mazingira ya Shule ya Olkesmet ili kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi katika Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Manyara Tanzania